S H E I K H

l o a d i n g

Video

JE, KHITMA INAMFIKIA MAITI? | SHEIKH ABDILAHI NASSIR | SEHEMU YA PILI


Katika jamii za Kiislamu kumekuwa na maswali juu ya habari za usomaji wa khitma!


Je, historia inasema nini kuhusu habari za khitma? | Je, kuna umuhimu gani wa kusoma khitma | Je khitma inamfikia maiiti? | Kwa nini kumekuwa na ikhtilafu juu ya habari za khitma?


Haya ni miongoni mwa maswali ambayo marhoum sheikh Abdilahi Nassir ameyatolea hoja.


Hii ni sehemu ya 2/2 za mada hii ambayo ilitolewa mnamo 1991.


#khitma #maiti #abdilahinassir