![](https://sheikh.co.tz/storage/video/image/3qvViTRtANqcSsv9KpWGJpf2dgRMl8lKNA8cJ1cQ_image.jpg)
Katika jamii za Kiislamu kumekuwa na maswali juu ya habari za usomaji wa khitma!
Je, historia inasema nini kuhusu habari za khitma? | Je, kuna umuhimu gani wa kusoma khitma | Je khitma inamfikia maiiti? | Kwa nini kumekuwa na ikhtilafu juu ya habari za khitma?
Haya ni miongoni mwa maswali ambayo marhoum sheikh Abdilahi Nassir ameyatolea hoja.
Hii ni sehemu ya 1/2 za mada hii ambayo ilitolewa mnamo 1991.
#khitma #maiti #abdilahinassir