S H E I K H

l o a d i n g

Article

HAWLI YA MARHOUM SHEIKH ABDILAHI NASSIR (R.A) | 2024


Vijana wa Marhoum Sheikh Abdilahi Nassir kwa kushirikiana na Bilal Muslim Mission of Tanzania tulifanikiwa kufanya hauli ya Marhoum Sheikh Abdilahi Nassir.


Hawli hiyo imefanyika Machi 03, 2024 katika Ukumbi wa Zainabiyah WIPAHS Kibaha, mkoani Pwani.


Sheikh Abdilahi Nassir anakumbukwa kama miongoni mwa wanazuoni maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Alizaliwa Juni 01, 1932 na kufariki Januari 11, 2022.