![](https://sheikh.co.tz/storage/audio/image/tw3bMPdQVw2MYbFzrtYq7u1hSyetlydJYMvW1OoG_image.jpg)
Katika jamii za Kiislamu kumekuwa na maswali juu ya habari za usomaji wa khitma!
Je, historia inasema nini kuhusu habari za khitma? | Je, kuna umuhimu gani wa kusoma khitma | Je khitma inamfikia maiiti? | Kwa nini kumekuwa na ikhtilafu juu ya habari za khitma?
Haya ni miongoni mwa maswali ambayo marhoum sheikh Abdilahi Nassir ameyatolea hoja...
Hii ni sehemu ya 2/2 za khutba hii iliyotolewa mwaka 1991.